Nini maana ya Mithali 24:11 Uwaokoe wanaochukuliwa ili wauawe?

SWALI: Nini maana ya Mithali 24:11 Uwaokoe wanaochukuliwa ili wauawe; Nao walio tayari kuchinjwa uwaopoe. JIBU:  Mstari huu una maana mbili, Mana ya kwanza ni uhai kama ‘uhai’ alionao mwanadamu yoyote, Maana yake ni kuwa uonapo, mtu asiyekuwa na hatia, amepangiwa njama za kuuliwa, au ndio anakaribia kufa, na wewe unaowezo wa kumsaidia huna budi … Continue reading Nini maana ya Mithali 24:11 Uwaokoe wanaochukuliwa ili wauawe?