MWONGOZO WA MAOMBI YA ASUBUHI.
Watu wengi wanapofikia hatua ya kuomba, wanashindwa kuomba vizuri au kudumu kwa muda mrefu, sio kwamba hawana nguvu za rohoni, hapana bali wakati mwingine ni kwasababu wanakosa mwongozo wa vitu vya kuombea. Hivyo tumeona tuutoe mwongozo huu mfupi ambao utakusaidia, unapoingia katika maombi yako ya asubuhi. Zingatia: Hii sio kanuni ya daima, Zipo nyakati Roho … Continue reading MWONGOZO WA MAOMBI YA ASUBUHI.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed