MAJARIBU MATANO (5) YA MKRISTO.
Safari ya wokovu ya mkristo inafananishwa na safari ya Wana wa Israeli kutoka Misri kwenda Kanaani. Na kama vile maandiko yanavyotuonyesha walikombolewa wote Kwa damu ya Mwana kondoo, Kisha Wakabatizwa katika bahari ya Shamu, wakawa chini ya wingu la Roho Mtakatifu kule jangwani,.. Lakini katika hayo yote bado tunaambiwa wengi wao hawakuweza kuiona Ile nchi … Continue reading MAJARIBU MATANO (5) YA MKRISTO.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed