Yesu anapoitwa mwana wa Azali, maana yake nini?
Azali ni neno linalomaanisha milele, isiyokuwa na mwanzo, wala mwisho. Hivyo, watu wanaposema Yesu mwana wa Azali wa Mungu, wanamaanisha Yesu mwana Mungu asiyekuwa na mwanzo. Neno hili utalisikia sana katika, ukiri wa Imani ya Nikea, (kwa makanisa ya kiprotestanti), Imani ya Nikea imetokana na baraza la maaskofu wa kidini waliokaa chini mwaka 325, ili … Continue reading Yesu anapoitwa mwana wa Azali, maana yake nini?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed