Kuharimishwa ni nini, na kwanini Paulo aombe hivyo?(Warumi 9:2).
Jibu: Ili tuweze kuelewa vizuri tuanzia ule mstari wa kwanza, na tusome mpaka ule wa 5 Warumi 9:1 “Nasema kweli katika Kristo, sisemi uongo, dhamiri yangu ikinishuhudia katika Roho Mtakatifu, 2 ya kwamba nina huzuni nyingi na maumivu yasiyokoma moyoni mwangu. 3 Kwa maana ningeweza kuomba MIMI MWENYEWE NIHARIMISHWE NA KUTENGWA NA KRISTO KWA AJILI … Continue reading Kuharimishwa ni nini, na kwanini Paulo aombe hivyo?(Warumi 9:2).
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed