Nini maana ya “Uweza wa kifalme utakuwa begani mwake” (Isaya 9:6)?.
Jibu: Turejee Isaya 9:6, Isaya 9:6 “Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto mwanamume; NA UWEZA WA KIFALME UTAKUWA BEGANI MWAKE; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu, Baba wa milele, Mfalme wa Amani”. Katika jeshi lolote lile, liwe la Ulinzi au la wananchi, kunakuwa na vyeo. Si askari wote wanafanana … Continue reading Nini maana ya “Uweza wa kifalme utakuwa begani mwake” (Isaya 9:6)?.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed