Mafuta mabichi ni mafuta ya aina gani? (Zaburi 92:10)

Swali: Mafuta Mabichi yapoje, na yanafunua nini kiroho? Jibu: Tureje.. Zaburi 92:10 “Bali pembe yangu umeiinua kama pembe ya nyati, Nimepakwa MAFUTA MABICHI”. Mafuta mabichi yanayozungumziwa hapo si mafuta ambayo hayajapitishwa kwenye moto yakaiva na kuchemka… La!.. bali ni mafuta yaliyo mapya (yaani freshi) ambayo yayajakaa muda mrefu. Nyakati za biblia na hata sasa wayahudi … Continue reading Mafuta mabichi ni mafuta ya aina gani? (Zaburi 92:10)