BARAKA ZA WAZAZI KWA WATOTO.

Masomo maalumu kwa wazazi/walezi. Je unazijua kanuni za kuwabariki watoto wako?.. Wengi tunaijua kanuni moja tu ya kuwatamkia Baraka!..Hiyo ni sahihi kabisa na ipo kibiblia..(kwasababu maneno ya kinywa yana nguvu). Lakini ni vizuri kufahamu jambo moja, kama Maneno yako hayataambatana na matendo yako, uwezekano wa hayo uliyoyasema kutokea bado utakuwa ni mdogo sana. Kama unataka … Continue reading BARAKA ZA WAZAZI KWA WATOTO.