Je ni halali kwa mkristo kufanya biashara ya Forex?

SWALI: Je! ni sahihi kwa mkristo kufanya biashara za kifedha mitandaoni kama vile Forex, na crypto-currency mfano wa bitcons? JIBU: Ni vema kufahamu biashara za kifedha mitandaoni kama forex ni nini? Ni biashara ya ubadilishaji wa fedha za kigeni katika soko la dunia. Yaani ununuaji na uuzaji wa fedha za kigeni, sawa tu ile tuliyowahi … Continue reading Je ni halali kwa mkristo kufanya biashara ya Forex?