Je! Kuota unakabwa, mara kwa mara ni ishara ya nini?
SWALI: Mimi kila nikilala, huwa kuna kitu kinanikaba koo, nakosa pumzi, kinanikandamiza naona kama nakwenda kufa au wakati mwingine ninaganda muda mrefu siwezi kusogea. Hata nikijaribu kukemea, natumia kushindana sana, baadaye kinaniachia, Je hili ni jinamizi?. Jambo hili limekuwa likijirudia mara kwa mara. Nimejaribu kufunga na kuomba zinaweza pita tu siku kadhaa halafu kikajirudia tena. … Continue reading Je! Kuota unakabwa, mara kwa mara ni ishara ya nini?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed