MSALABA NI ZANA YA UJENZI WA MAISHA YAKO.

Mwimbaji mmoja wa tenzi za rohoni aliandika hivi “Kama alivyoonyeshwa Yakobo zamani, msalaba umekuwa ngazi ya mbinguni (Tenzi no. 81, ubeti wa 2)”.. akirejea wakati ule  Yakobo alipokuwa amelala pale Betheli na akaona maono, ngazi kubwa kutokea mbele yake, na malaika wakikwea na kushuka kutoka mbinguni. Mwanzo 28:11 “Akafika mahali fulani akakaa huko usiku kucha, … Continue reading MSALABA NI ZANA YA UJENZI WA MAISHA YAKO.