Ni uchafu gani unaozungumziwa katika Wagalatia 5:19?
Jibu: Turejee, Wagalatia 5:19 “Basi matendo ya mwili ni dhahiri, ndiyo haya, uasherati, UCHAFU, ufisadi, 20 ibada ya sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, faraka, uzushi, 21 husuda, ulevi, ulafi, na mambo yanayofanana na hayo, katika hayo nawaambia mapema, kama nilivyokwisha kuwaambia, ya kwamba watu watendao mambo ya jinsi hiyo hawataurithi ufalme wa Mungu”. … Continue reading Ni uchafu gani unaozungumziwa katika Wagalatia 5:19?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed