Kimiami ni nini? (Wimbo ulio bora 2:9).
Jibu: Turejee, Wimbo 2:9 “Mpendwa wangu ni kama paa, au ayala. Tazama, asimama nyuma ya ukuta wetu, Achungulia dirishani, atazama kimiani”. “Kimiami” ni dirisha kubwa lililo katika “ghorofa”.. Madirisha makubwa yaliyo katika maghorofa tofauti na yale yaliyo katika nyumba za chini ndiyo yaliyoitwa “kimiami”. Mfano wa dirisha la Kimiami ni lile ambalo mfalme Ahazia aliloanguka … Continue reading Kimiami ni nini? (Wimbo ulio bora 2:9).
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed