Lalama kwa uhai wa watoto wako wachanga wazimiao kwa njaa(Maombolezo 2:19)

Mafundisho maalumu kwa watumishi wa Mungu na Watenda kazi wote katika shamba la Bwana. Maombolezo 2:19 [19]Inuka, ulalamike usiku, Mwanzo wa makesha yake; Mimina moyo wako kama maji usoni pa Bwana; Umwinulie mikono yako; KWA UHAI WA WATOTO WAKO WACHANGA WAZIMIAO KWA NJAA, Mwanzo wa kila njia kuu.  Ikiwa wewe ni mzazi au mlezi unaelewa ni uchungu mwingi kiasi gani … Continue reading Lalama kwa uhai wa watoto wako wachanga wazimiao kwa njaa(Maombolezo 2:19)