Ipi tofauti kati ya KUHANI na MCHUNGAJI.
Jibu: Makuhani ni watu waliokuwa wanahudumu katika “Hema ya Mungu” wakati wana wa Israeli wakiwa jangwani na katika “Hekalu la Mungu” baada ya wana wa Israeli kuingia katika nchi ya ahadi na kumjengea Mungu nyumba. Kazi ya Makuhani ilikuwa ni “kuwapatanisha watu na Mungu wao” kupitia damu za wanyama. Vile vile Makuhani walikuwa na kazi … Continue reading Ipi tofauti kati ya KUHANI na MCHUNGAJI.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed