Timotheo alikuwa wapi wakati anaandikiwa nyaraka zake na mtume Paulo?

Waraka wa kwanza na ule wa pili wa timotheo,mtume Paulo aliuandika akiwa gerezani kama mfungwa Rumi. Kwa urefu wa maelezo ya nyaraka Paulo alizoziandika akiwa gerezani, fungua hapa >>> Je ni nyaraka zipi mtume Paulo aliziandikia gerezani? Lakini swali linakuja je Timotheo alikuwa wapi kwa wakati huo nyaraka hizo mbili zinaandikwa. Jibu niĀ  kwamba alikuwa … Continue reading Timotheo alikuwa wapi wakati anaandikiwa nyaraka zake na mtume Paulo?