Fahamu ni nani aliye mwandishi wa kitabu cha Mathayo.

SWALI: Mwandishi wa kitabu cha Mathayo ni nani? Kama jina la kitabu linavyojieleza “INJILI KAMA ALIVYOIANDIKA MATHAYO MTAKATIFU”. Maana yake ni kuwa kitabu hiki kiliandikwa na Mathayo. Lakini utata unakuja ni Mathayo yupi? Ijapokuwa biblia haielezi ni Mathayo yupi lakini wanazuoni wengi na watafiti wa historia kibiblia, wanahitimisha kusema ni Mathayo mtume wa Yesu Kristo … Continue reading Fahamu ni nani aliye mwandishi wa kitabu cha Mathayo.