Mwandishi wa kitabu cha Mithali ni nani?

SWALI: Mwandishi wa kitabu cha Mithali alikuwa nani? Sulemani mwana wa Daudi, anajitaja mwenyewe kama mwandishi, katika mwanzo kabisa wa kitabu hiki Mithali 1:1 Mithali za Sulemani, mwana wa Daudi, mfalme wa Israeli.2 Kujua hekima na adabu; kutambua maneno ya ufahamu Kitabu hichi kinakadiriwa kuandikwa miaka mia tisa (900) kabla ya Kristo.Ni kitabu kilichojaa maneno … Continue reading Mwandishi wa kitabu cha Mithali ni nani?