Fahamu Mwandishi wa kitabu cha Wafalme
SWALI: Mwandishi wa kitabu cha Wafalme alikuwa nani? Biblia haijaweka bayana aliyekuwa mwandishi wa kitabu hiki, lakini kufuatana na hadithi za kiyahudi huaminika kuwa nabii Yeremia ndiye alikuwa mwandishi wa vitabu hivi viwili vya wafalme. Kitabu hichi kinaeleza kwa kina tawala za kifalme Kuanzia Mfalme Sulemani, na kugawanyika kwa taifa la Israeli pande mbili, hadi … Continue reading Fahamu Mwandishi wa kitabu cha Wafalme
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed