Mchuuzi ni nani? (Hosea 12:7).

Swali: Mchuuzi maana yake nini kama tunavyosoma katika Hosea 12:7? na je tunaruhusiwa kuwa wachuuzi? Jibu: Turejee. Hosea 12: 7 “Ni MCHUUZI, mizani ya udanganyifu i mkononi mwake; anapenda kudhulumu” Mchuuzi ni mtu anayefanya biashara ya kununua bidhaa na kuzisafirisha kwenda kuziuza mahali pengine hususani nje ya nchi yake. Utalisoma neno hili tena katika kitabu … Continue reading Mchuuzi ni nani? (Hosea 12:7).