Jibu: Turejee.. Isaya 54:16 “Tazama, nimemwumba MHUNZI avukutaye moto wa makaa, akatoa silaha kwa kazi yake; nami nimemwumba mharibu ili aharibu” Mhunzi/ Wahunzi wanaozungumziwa katika biblia ni watu “wanaofua Vyuma, shaba, fedha au dhahabu”. Maana yake wanaviyeyusha vyuma hivyo au madini hayo na kuyaumba kwa maumbile mbalimbali kama silaha na urembo. Tofauti ya Mhunzi na … Continue reading Mhunzi ni nani? (Isaya 54:16)
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed