Kuota unakemea mapepo/ unashindana na nguvu za giza.
Kunaweza maanisha namna tatu, ya kwanza, ni kwamba unapitia kweli vita vya kiroho, lakini ya pili ni unaonyeshwa na Mungu uhalisia wa vita vya kiroho, na tatu unaonyeshwa uwezo wa hali yako ya kiroho. Maandiko yanasema Waefeso 6:12 Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na … Continue reading Kuota unakemea mapepo/ unashindana na nguvu za giza.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed