Mlango la kondoo ulikuwaje?(Yohana 5:2)

Swali: Ule mlango wa kondoo unaotajwa katika Yohana 5:2, ulikuwa ni mlango wa namna gani?, na umebeba ujumbe au ufunuo gani sasa? Jibu: Turejee. Yohana 5:2 “Na huko Yerusalemu penye mlango wa kondoo pana birika, iitwayo kwa Kiebrania Bethzatha, nayo ina matao matano”. Mlango wa kondoo unaozungumziwa hapo ulikuwa ni mlango mdogo katika hekalu la … Continue reading Mlango la kondoo ulikuwaje?(Yohana 5:2)