MIMI NA WEWE TU KAZI YA MUNGU.
Waefeso 2:10 MAANA TU KAZI YAKE, tuliumbwa katika Kristo Yesu, tutende matendo mema, ambayo tokea awali Mungu aliyatengeneza ili tuenende nayo. Nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu Kristo, karibu tujifunze maneno ya uzima. Mimi na wewe kama vile maandiko yanavyosema hapo, ni “kazi ya Mungu”..Hivyo ni lazima kujua kama ni kazi ya Mungu basi … Continue reading MIMI NA WEWE TU KAZI YA MUNGU.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed