Tafsiri ya Mithali 27:18 Yeye autunzaye mtini atakula matunda yake;
SWALI: Maana ya Mithali 27:18 Yeye autunzaye mtini atakula matunda yake; Naye amhudumiaye bwana wake ataheshimiwa. JIBU: Mstari huo una vipengele viwili cha kwanza ni Yeye autunzaye mtini atakula matunda yake Na cha pili ni naye amhudumiaye bwana wake ataheshimiwa. Tukianzana na hicho cha kwanza. Tufahamu kuwa Mungu ameiandika injili yake sio tu kwenye kitabu … Continue reading Tafsiri ya Mithali 27:18 Yeye autunzaye mtini atakula matunda yake;
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed