Semeni, Sisi tu watumwa wasio na faida; (Luka 17:10)
SWALI: Naomba kufahamu maudhui iliyo nyuma ya Luka 17:10 inayosema.. [10]Vivyo hivyo nanyi, mtakapokwisha kuyafanya yote mliyoagizwa, semeni, Sisi tu watumwa wasio na faida; tumefanya tu yaliyotupasa kufanya. JIBU: Kufahamu kwanini Yesu aliwaambia wanafunzi wake maneno hayo. Ukianzia juu utaona ni kufuatana na swali walilomuuliza kuhusiana na IMANI. Walimfuata na kumwomba awaongezee Imani. Lakini Yesu … Continue reading Semeni, Sisi tu watumwa wasio na faida; (Luka 17:10)
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed