Ndugu Yule anayezungumziwa kwenye 2Wakorintho 8:18 ni nani?
SWALI: Kwenye 2Wakorintho 8:18, Mtume Paulo anamtaja ndugu ambaye jina lake hajaliweka wazi. Ni kwanini afanye hivi tofauti na alivyozoea kufanya katika nyaraka zake nyingine, kuwataja aliowatuma? 2Wakorintho 8:18 Na pamoja naye tukamtuma ndugu yule ambaye sifa zake katika Injili zimeenea makanisani mwote.19 Wala si hivyo tu, bali alichaguliwa na makanisa asafiri pamoja nasi katika … Continue reading Ndugu Yule anayezungumziwa kwenye 2Wakorintho 8:18 ni nani?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed