Bwana YESU alibatizwa na umri gani?

Jibu: Umri kamili ambao Bwana YESU alikuwa nao wakati anabatizwa na Yohana katika mto Yordani, ni miaka thelathini (30). Tunalithibitisha hilo katika Luka