Mwandishi wa kitabu cha Matendo ya mitume.
Kitabu cha Matendo ya mitume hakimtaji moja kwa moja mwandishi wake, lakini tunaweza kumtambua, kutokana na utambulisho wake mwanzoni mwa waraka huo, kwamba ni LUKA. Kwasababu waraka huu aliulekeza kwa mtu mmoja aliyeitwa Theofilo, ambaye anamtaja pia alimtumia waraka wa kwanza uliozungumzia habari za Yesu tangu mwanzo hadi siku alipochukuliwa juu, na huu si mwingine … Continue reading Mwandishi wa kitabu cha Matendo ya mitume.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed