KWA KUWA ROHO BORA ILIKUWA NDANI YAKE.

Nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu Kristo, karibu tujifunze maneno ya uzima. Katika nyakati hizi za hatari na udanganyifu mwingi, ni vizuri kujichunguza sana, ni Roho ipi umeipokea ndani yako. Kwasababu tabia unazozionyesha ni matokeo ya roho iliyopo nyuma yake, ikiwa wewe ni mpenda dunia basi roho ya dunia ipo ndani yako. 1Wakorintho 2:12  … Continue reading KWA KUWA ROHO BORA ILIKUWA NDANI YAKE.