Wakijifunza siku zote, ila wasiweze kabisa kuufikia ujuzi wa kweli.
SWALI: 2Timotheo 3:7, ina maana gani inaposema; wakijifunza siku zote, ila wasiweze kabisa kuufikia ujuzi wa kweli. JIBU: Katika kitabu cha 2Timotheo sura ya tatu(3), kuanzia mstari 1-9. Kinaeleza sifa za watu watakaozuka katika siku za mwisho. Tabia ambazo hapo mwanzo hazikuwepo. Sasa ukisoma pale utaona zimeorodheshwa baadhi ikiwemo kutokea watu wenye kupenda fedha, watu … Continue reading Wakijifunza siku zote, ila wasiweze kabisa kuufikia ujuzi wa kweli.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed