Kusanyiko la makini/ mkutano wa makini ni upi?
Katika agano la kale, Israeli walikuwa na makusanyiko mengi, ambapo walikutanika kumfanyia Mungu ibada, na kuzishika sikukuu. Lakini pia yalichaguliwa makusanyiko mengine yaliyoitwa mikutano/makusanyiko ya makini. Makusanyiko haya yalifanyika katika siku ya saba ya sikukuu ya Pasaka, na siku ya nane, baada ya sikukuu ya vibanda. Katika siku hiyo hawakuruhusiwa kufanya kazi yoyote. Bali ilitengwa … Continue reading Kusanyiko la makini/ mkutano wa makini ni upi?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed