JINSI YA KUSHINDA VISULISULI(Mithali 10:25)
SWALI: Nini maana ya hii Mithali 10:25 Kisulisuli kikiisha pita asiye haki hayuko tena; Bali mwenye haki ni msingi wa milele. JIBU: Mstari huo unajifafanua vizuri kwenye ule mfano Bwana Yesu aliutoa kuhusiana na watu wanaoyasikia maneno yake, halafu hawayatendi. Tusome. Mathayo 7:24 Basi kila asikiaye hayo maneno yangu, na kuyafanya, atafananishwa na mtu mwenye … Continue reading JINSI YA KUSHINDA VISULISULI(Mithali 10:25)
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed