Biblia inasema nini kuhusu mtu ‘Mwenye kujipendekeza (Mithali 29:5)
SWALI: Naomba kufahamu ujumbe ulio katika Mithali 29:5 ‘Mwenye kujipendekeza kwa jirani yake, Hutandika wavu ili kuitega miguu yake’. JIBU: Mithali hii inazungumzia madhara yanayoibuka katika tabia ya kujipendekeza. Kujipendekeza ni kitendo cha mtu kumthaminisha mtu, hata kama alikuwa hastahili sifa hizo, ili tu upate kitu Fulani kutoka kwake. Kumthaminisha kunaweza kuwa kumsifia, au kumpongeza, … Continue reading Biblia inasema nini kuhusu mtu ‘Mwenye kujipendekeza (Mithali 29:5)
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed