Fahamu Mwandishi wa kitabu cha Waebrania ni nani.

Mwandishi wa kitabu cha Waebrania ni nani? Kitabu cha Waebrania ni moja ya nyaraka ambazo waandishi wake hawajajitambulisha aidha ndani au mwanzoni  au mwishoni mwa nyaraka hizo. Lakini kwa kutathimini baadhi ya nukuu za mwandishi, huwenda alikuwa ni mtume Paulo aliyeuandika. Kufuata na kumtaja Timotheo kwenye waraka huo, na tunajua Timotheo alikuwa chini ya utume … Continue reading Fahamu Mwandishi wa kitabu cha Waebrania ni nani.