MAANA ROHO HUCHUNGUZA YOTE, HATA MAFUMBO YA MUNGU.
Wakorintho 2:10 Lakini Mungu ametufunulia sisi kwa Roho. Maana Roho huchunguza yote, hata mafumbo ya Mungu. 11 Maana ni nani katika binadamu ayajuaye mambo ya binadamu ila roho ya binadamu iliyo ndani yake? Vivyo hivyo na mambo ya Mungu hakuna ayafahamuye ila Roho wa Mungu Sifa mojawapo ya Roho Mtakatifu, ni kuchunguza, na tunajua mpaka … Continue reading MAANA ROHO HUCHUNGUZA YOTE, HATA MAFUMBO YA MUNGU.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed