Je! dunia Ni duara, tufe au ipo kama sahani?biblia inasemaje?

SWALI: Naomba kufahamu Je! dunia Ni duara, tufe au ipo kama sahani imefunikwa na glasi kwa juu?. JIBU: Jambo la msingi kufahamu kuhusu biblia ni kwamba, Biblia si kitabu cha kisayansi, au cha taaluma nyingine yoyote, kana kwamba unaweza vumbua elimu ya kidunia kupitia hicho. ukitegemea biblia ikupe majibu ya kitaaluma,  kwa bahati mbaya unaweza … Continue reading Je! dunia Ni duara, tufe au ipo kama sahani?biblia inasemaje?