Nini maana ya dhabihu na matoleo hukutaka? (Waebrania 10:5).
Swali: Je Mungu hapendezwi na dhabihu na matoleo, kulingana na mstari huo? Jibu: Turejee.. Waebrania 10:5 “Kwa hiyo ajapo ulimwenguni, asema, Dhabihu na toleo hukutaka, Lakini mwili uliniwekea tayari”. Andiko hili limerejewa kutoka katika Zaburi 40:6, tusome ili tupate maana kamili. Zaburi 40:6 “Dhabihu na matoleo hukupendezwa nazo, Masikio yangu umeyazibua, Kafara na sadaka za … Continue reading Nini maana ya dhabihu na matoleo hukutaka? (Waebrania 10:5).
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed