Uchambuzi na Mwandishi wa kitabu cha Wagalatia
Kitabu cha Wagalatia ni moja ya nyaraka ambazo mtume Paulo aliziandika kwa makanisa aliyoyapanda. Tunaona mwanzoni kabisa mwa waraka huu Paulo mwenyewe anajitambulisha akionyesha kuwa yeye ndiye mwandishi. Waraka huu unamwonyesha Paulo akiwastaajabia watakatifu wa kanisa la Galatia kwa kuacha Imani ambayo aliwaachia hapo mwanzo, alipokuwa analisimamisha kanisa hilo, jambo ambalo lilimfanya mpaka imani yake … Continue reading Uchambuzi na Mwandishi wa kitabu cha Wagalatia
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed