Matasa ni nini? (1Nyakati 28:17)
Jibu: Turejee.. 1Nyakati 28:17 “na nyuma, na mabakuli, na vikombe vya dhahabu safi; na kwa MATASA ya dhahabu, kwa uzani kwa kila TASA; na kwa matasa ya fedha, kwa uzani kwa kila tasa”. Ukisoma kuanzia juu utaona kuwa hivyo ni vyombo ambavyo vingepaswa viwepo ndani ya MUNGU aliyokusudia kuijenga Mfalme Daudi. Lakini kwasababu haikuwa mapenzi … Continue reading Matasa ni nini? (1Nyakati 28:17)
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed