Uchambuzi na mwandishi wa kitabu cha Waefeso.
Uchambuzi na mwandishi wa kitabu cha Waefeso. Kama kitabu kinavyojitambulisha “Waraka wa Paulo Mtume kwa Waefeso”. Paulo ndiye aliyeuandika waraka huu. Aliuandika akiwa kama mfungwa kule Rumi. Waraka huu una sura sita(6), ambazo tunaweza kuzigawanya katika makundi mama mawili. 1) kundi la kwanza ni Sura ya 1-3, Sura hizi zinaeleza asili ya Imani yetu iliyo … Continue reading Uchambuzi na mwandishi wa kitabu cha Waefeso.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed