Kwanini BWANA awaagize wakoma wakajionyeshe kwa Makuhani?(Luka 17:14

Jibu: Turejee kuanzia ule mstari wa 12.. Luka 17:12 “Na alipoingia katika kijiji kimoja, alikutana na watu kumi wenye ukoma; wakasimama mbali, 13 wakapaz