Mwandishi na uchambuzi wa kitabu cha Wakorintho wa kwanza (1Wakorintho)

Mwandishi na uchambuzi wa kitabu cha Wakorintho wa kwanza  Kitabu hichi ni moja ya nyaraka   zilizondikwa na  mtume Paulo katika agano jipya,  Waraka huu amegusia mambo mengi, hasahasa katika eneo la marekebisho na maonyo. Unagusia nidhani na taratibu za kikristo zinazopaswa zifuatwe ndani ya  kanisa, unazungumzia pia eneo la uhalisia wa ufufuo wa wafu … Continue reading Mwandishi na uchambuzi wa kitabu cha Wakorintho wa kwanza (1Wakorintho)