Kwanini nguo za waliomwua Stefano ziwekwe miguuni mwa Sauli?.

Swali: Kulikuwa na sababu gani habari za nguo za waliomwua Stefano kuandikwa katika biblia? (Matendo 7:58). Jibu: Turejee… Matendo 7:58 “wakamtoa nje ya mji, wakampiga kwa mawe. Nao mashahidi WAKAWEKA NGUO ZAO MIGUUNI PA KIJANA MMOJA ALIYEITWA SAULI.  59 Wakampiga kwa mawe Stefano, naye akiomba, akisema, Bwana Yesu, pokea roho yangu”. Zipo tafiti zinasema kuwa … Continue reading Kwanini nguo za waliomwua Stefano ziwekwe miguuni mwa Sauli?.