Mwandishi na Uchambuzi wa kitabu cha kwanza cha Petro.(1Petro)

Kichwa cha kitabu hichi kinasema “Waraka wa kwanza wa Petro kwa watu wote” Kutuonyesha kuwa Petro Ndiye mwandishi. Waraka huu mfupi aliuelekeza kwa watakatifu wote waliotawanyika, na kuishi kama wageni maeneo ya Asia ndogo ambayo kwasasa ni nchi ya Uturuki. Maudhui makuu ya waraka huu tunaweza kuyagawanya katika sehemu kuu nne(4): 1) Ni kuwafariji watakatifu … Continue reading Mwandishi na Uchambuzi wa kitabu cha kwanza cha Petro.(1Petro)