Je mtu anaweza akawa hajaokoka akaombea mtu na Pepo likamtoka,

SWALI: Je mtu anaweza akawa hajaokoka akaombea mtu na Pepo likamtoka, na pia mtu anaweza akawa ameokoka akaombea mtu na pepo lisitoke ? JIBU: Kuhusu swali la kwanza linalosema je mtu anaweza akawa hajaokoka kisha akaenda kuombea mtu mwenye pepo na hatimaye likamtoka? Jibu ni la!,  haiwezekani mtu ambaye hajaokoka, akawa na uwezo wa kutoa … Continue reading Je mtu anaweza akawa hajaokoka akaombea mtu na Pepo likamtoka,