Kwanini kuna tafsiri nyingi za Biblia, na tafsiri ipi ni sahihi?

Jibu: Mpaka kufikia mwaka 2024 biblia imetafsiriwa kwa lugha 756, hivyo kuna tafsiri Zaidi ya 756 mpaka sasa duniani kote. Sasa kwa asili biblia iliandikwa kwa lugha kuu tatu, ambazo ni KIEBRANIA (Agano la Kale), lugha ya KIARAMU (Sehemu za Agano la kale na jipya) pamoja na lugha ya KIYUNANI AU KIGIRIKI (Agano jipya), Hizo … Continue reading Kwanini kuna tafsiri nyingi za Biblia, na tafsiri ipi ni sahihi?