Theolojia ni nini?. Na je ni sahihi kuisoma?

Theolojia ni elimu ya kujifunza sifa za Mungu na mapenzi yake na jinsi anavyohusiana na wanadamu na ulimwengu  kwa ujumla. Neno Theolojia limezaliwa kutoka katika maneno mawili ya kigiriki ‘theos’, na ‘logos’ Theos likiwa na maana ya Mungu, na logos ni neno/wazo/elimu/maarifa. Hivyo tukiunganisha maneno hayo, ni sawa kusema theolojia ni mafundisho au maarifa au … Continue reading Theolojia ni nini?. Na je ni sahihi kuisoma?