EPUKA KUJIFANYA HUJUI.

Jina la Mwokozi YESU libarikiwe karibu tujifunze biblia. Tabia ya kujifanya hujui na ilihali unajua ni mbaya na hatari, kwani ni sawa na kumjaribuĀ  MUNGU.