UFAHAMU UFUNGUO WA KUMPENDA BWANA ZAIDI
Je unaujua ufunguo wa wewe kumpenda Bwana zaidi?.. kuna jambo ukilifanya basi upendo wako kwa MUNGU utaongezeka kwa kiwango kikubwa sana.. Utajikuta unampenda MUNGU zaidi, unamheshimu zaidi na unamtumikia zaidi. Na ufunguo huo si mwingine zaidi ya kuutafakari MSAMAHA WAKE KWAKO KWA MAPANA!.. Unaweza kuona jambo la msamaha kwako ni dogo tu!.. Lakini nataka nikuambie … Continue reading UFAHAMU UFUNGUO WA KUMPENDA BWANA ZAIDI
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed